Isaiah 38:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Isaya:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Isaya, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, neno la Bwana likamjia Isaya, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Isaya:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likamjia Isaya:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likamjia Isaya, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, neno la BWANA likamjia Isaya, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Isaya:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, neno la Bwana lilipomjia Yesaya kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, neno la BWANA likamjia Isaya, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha neno la Yawe lilimufikia Isaya kusema hivi: