Isaiah 38:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu kutoka katika mkono wa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo mkononi mwake mfalme wa Asuri nitakuponya, hata mji huu, maana nitaukingia mji huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuokoa wewe pamoja na muji huu toka katika mikono ya mufalme wa Asuria na kuulinda.