Isaiah 38:7 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hii ndiyo ishara ya Mwenyezi Mungu kwako kwamba Mwenyezi Mungu atafanya kile alichoahidi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa Bwana, ya kuwa Bwana atalitimiza jambo hili alilolisema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hii ndiyo ishara ya BWANA kwako ya kwamba BWANA atafanya kile alichoahidi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hii ndiyo ishara ya bwana kwako ya kwamba bwana atafanya kile alichoahidi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho hiki kitakuwa kielekezo chako kitokacho kwa Bwana cha kwamba: Bwana atalifanya neno hili, alilolisema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya akamujibu: Hiki kitakuwa kitambulisho kwako kutoka kwa Yawe kwamba Yawe atafanya kama alivyoahidi.