Isaiah 38:9 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya ndiyo maandiko ya Hezekia, mfalme wa Yuda, alipokuwa hawezi, naye akapona ugonjwa wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme Hezekia alipopona, akatunga wimbo huu wa shukrani:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya ndiyo maandiko ya Hezekia, mfalme wa Yuda, alipokuwa mgonjwa, naye akapona ugonjwa wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme Hezekia alipopona, akatunga wimbo huu wa shukrani:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huu ndio wimbo, Hizikia, mfalme wa Yuda, aliouandika katika ugonjwa wake alipokuwa amepona:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya ndiyo maandiko ya Hezekia, mfalme wa Yuda, alipokuwa hawezi, naye akapona ugonjwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Hezekia alipopona, akatunga wimbo huu wa shukrani: