Isaiah 39:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la Bwana wa majeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la BWANA Mwenye Nguvu Zote:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la bwana Mwenye Nguvu Zote:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA wa majeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yesaya alipomwambia Hizikia: Sikia neno la Bwana Mwenye vikosi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA wa majeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Isaya akamwambia Hezekia: Sikia neno la Yawe wa majeshi: