Isaiah 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kuwakinga na joto la mchana; na kimbilio na kinga yao wakati wa dhoruba na mvua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa sitara na kivuli kutokana na joto la mchana, na kuwa mahali pa kujificha kutokana na dhoruba na mvua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya hari, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kuwakinga na joto la mchana; na kimbilio na kinga yao wakati wa dhoruba na mvua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa sitara na kivuli kutokana na joto la mchana na kuwa mahali pa kujificha kutokana na dhoruba na mvua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa sitara na kivuli kutokana na joto la mchana, na kuwa mahali pa kujificha kutokana na dhoruba na mvua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya joto, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kuwakinga na joto la mchana; na kimbilio na kinga yao wakati wa dhoruba na mvua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo watapata pa kukalia kivulini mchana, ukali wa jua usiwaumize, tena pa kukimbilia na pa kujifichia, kimbunga kisiwaangushe, wala mvua isiwapige.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya hari, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kwa kuwakinga na joto la muchana; na kimbilio na kikingio chao wakati wa zoruba na mvua.