Isaiah 40:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliyemwongoza roho ya Bwana, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya BWANA, au kumfundisha kama mshauri wake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya bwana, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani aielekezaye roho yake Bwana? Yuko nani aliyekula njama naye ya kumjulisha jambo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliyemwongoza roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kuiongoza akili ya Yawe, au kuwa mushauri wake na kumufundisha?