Isaiah 40:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri, ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi? Nani aliyemfunza njia za haki? Nani aliyemfundisha maarifa, na kumwonesha namna ya kuwa na akili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani ambaye Mwenyezi Mungu ametaka shauri kwake ili kumwelimisha, naye ni nani aliyemfundisha njia iliyo sawa? Ni nani aliyemfundisha maarifa au kumwonesha mapito ya ufahamu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonyesha njia ya fahamu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri, ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi? Nani aliyemfunza njia za haki? Nani aliyemfundisha maarifa, na kumwonesha namna ya kuwa na akili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani ambaye BWANA ametaka shauri kwake ili kumwelimisha, naye ni nani aliyemfundisha njia iliyo sawa? Ni nani aliyemfundisha maarifa au kumwonyesha mapito ya ufahamu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani ambaye bwana ametaka shauri kwake ili kumwelimisha, naye ni nani aliyemfundisha njia iliyo sawa? Ni nani aliyemfundisha maarifa au kumwonyesha mapito ya ufahamu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonesha njia ya fahamu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri, ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi? Nani aliyemfunza njia za haki? Nani aliyemfundisha maarifa, na kumwonesha namna ya kuwa na akili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani aliyepiga shauri naye la kumtambulisha kitu? Yuko nani aliyemfundisha mapito yaendayo sawasawa? Yuko nani aliyemfundisha kupambanua njia na kumjulisha utambuzi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonyesha njia ya fahamu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alitaka shauri toka kwa nani, halafu akapata kuwa mwenye akili? Nani aliyemufundisha kuhukumu kwa haki? Nani aliyemufundisha maarifa, na kumwonyesha namna ya kuwa na akili?