Isaiah 40:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwafanya wakuu kuwa si kitu, na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwafanya wakuu kuwa si kitu na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwafanya wakuu kuwa si kitu, na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waamuzi wa nchi nao anawatendea, kama hawana maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anawashusha wakubwa wenye nguvu, anawafanya watawala wa dunia kuwa si kitu.