Isaiah 40:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini unasema, ee Yakobo, nanyi ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa Mwenyezi Mungu asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, Bwana asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini unasema, Ee Yakobo, nanyi Ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa BWANA asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini unasema, ee Yakobo, nanyi ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa bwana asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unasema, Yakobo, unanena, Isiraeli: Njia yangu imefichika, Bwana asiione, nayo maamuzi, ninayoyangojea, yamempita Mungu wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wa Israeli wazao wa Yakobo, kwa nini munalalamika na kusema: Yawe hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!