Isaiah 40:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume kujikwaa na kuanguka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata vijana watazimia na kuchoka, na vijana wanaume wataanguka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ijapo vijana wachoke na kulegea, ijapo wavulana nao wajikwae,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata vijana wataregea na kuchoka; kweli washujaa wataanguka kwa muchoko.