Isaiah 40:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila bonde litasawazishwa, kila mlima na kilima vitashushwa; ardhi isiyo sawa itafanywa sawa, mahali pa kuparuza patalainishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyooshwa, napo palipoparuza patasawazishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila bonde litasawazishwa, kila mlima na kilima vitashushwa; ardhi isiyo sawa itafanywa sawa, mahali pa kuparuza patalainishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; ardhi yenye mabonde patasawazishwa, mahali palipoparuza patanyooshwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyooshwa, napo palipoparuza patasawazishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila bonde litasawazishwa, kila mlima na kilima vitashushwa; ardhi isiyo sawa itafanywa sawa, mahali pa kuparuza patalainishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vibonde vyote vifukiwe, navyo vilima vyote na vichuguu vyote vichimbuliwe! Napo palipopotoka panyoshwe, napo penye mashimo pawe njia ya sawasawa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila bonde litafunikwa, kila mulima na kilima vitasawanishwa; njia zenye lukumba zitanyooshwa, nazo zenye mashimo zitalainishwa.