Isaiah 40:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu utafunuliwa, na watu wote pamoja watauona. Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hayo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utukufu wa Mwenyezi Mungu utafunuliwa, nao wanadamu wote watauona pamoja. Kwa maana kinywa cha Mwenyezi Mungu kimenena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na utukufu wa Bwana utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu utafunuliwa, na watu wote pamoja watauona. Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hayo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wa BWANA utafunuliwa, nao wanadamu wote kwa pamoja watauona. Kwa maana kinywa cha BWANA kimenena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wa bwana utafunuliwa, nao wanadamu wote watauona pamoja. Kwa maana kinywa cha bwana kimenena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na watu wote watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu utafunuliwa, na watu wote pamoja watauona. Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hayo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wake Bwana upate kufunuliwa, wote wenye miili wauone pamoja! Kwani kinywa chake Bwana kimevisema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utukufu wa Yawe utafunuliwa, na watu wote pamoja watauona. Maneno haya yanatoka katika kinywa cha Yawe.