Isaiah 40:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza! Kuna sauti inasema, “Tangaza!” Nami nikauliza, “Nitangaze nini?” Naye: “Tangaza: Binadamu wote ni kama majani; uthabiti wao ni kama ua la shambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti husema, “Piga kelele.” Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza! Kuna sauti inasema, “Tangaza!” Nami nikauliza, “Nitangaze nini?” Naye: “Tangaza: binadamu wote ni kama majani; uthabiti wao ni kama ua la shambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti husema, “Piga kelele.” Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti husema, “Piga kelele.” Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Watu wote ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la shambani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza! Kuna sauti inasema, “Tangaza!” Nami nikauliza, “Nitangaze nini?” Naye: “Tangaza: Binadamu wote ni kama majani; uthabiti wao ni kama ua la shambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iko sauti ya mtu asemaye: Tangaza! Mwingine akasema: Na nitangaze nini? Kila mwenye mwili ni kama majani, nao uzuri wake wote ni kama ua la shambaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti inasema: Tangaza! Nami nikauliza: Nitangaze nini? Naye: Tangaza: wanadamu wote ni kama majani; usitawi wao ni kama maua ya shamba.