Isaiah 40:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majani hunyauka na ua hufifia, Mwenyezi-Mungu avumishapo upepo juu yake. Hakika binadamu ni kama majani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majani hunyauka na maua huanguka, kwa sababu pumzi ya Mwenyezi Mungu huyapuliza. Hakika wanadamu ni majani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya Bwana yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majani hunyauka na ua hufifia, Mwenyezi-Mungu avumishapo upepo juu yake. Hakika binadamu ni kama majani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majani hunyauka na maua huanguka, kwa sababu pumzi ya BWANA huyapuliza. Hakika wanadamu ni majani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majani hunyauka na maua huanguka, kwa sababu pumzi ya bwana huyapuliza. Hakika wanadamu ni majani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Hakika watu ni majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majani hunyauka na ua hufifia, Mwenyezi-Mungu avumishapo upepo juu yake. Hakika binadamu ni kama majani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majani hunyauka, nayo maua hupukutika, upepo wa Bwana ukiyapuzia; kweli watu ndio majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majani yananyauka na maua yanafifia, Yawe anapovumisha upepo juu yake. Hakika wanadamu ni kama majani.