Isaiah 40:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu lasimama milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majani hunyauka, nayo maua hupukutika, lakini Neno lake Mungu wetu litasimama kale na kale.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majani yananyauka na maua yanafifia, lakini neno la Mungu wetu linadumu milele.