Isaiah 41:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawatafuta hao wanaopingana nawe, lakini watakuwa wameangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa utawatafuta adui zako, hutawaona. Wale wanaopigana vita dhidi yako watakuwa kama vile si kitu kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawatafuta hao wanaopingana nawe, lakini watakuwa wameangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa utawatafuta adui zako, hutawaona. Wale wanaopigana vita dhidi yako watakuwa kama vile si kitu kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa utawatafuta adui zako, hutawaona. Wale wanaopigana vita dhidi yako watakuwa kama vile si kitu kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawatafuta hao wanaopingana nawe, lakini watakuwa wameangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utawatafuta, usiwaone waliokupingia, waliopigana na wewe watakuwa kama si kitu chenye maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawatafuta hao wanaopingana nawe, hautawaona tena; wale wanaofanya vita nawe, watakuwa wameangamia.