Isaiah 41:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, lakini hayapo, ndimi zao zimekauka kwa kiu. Lakini Mimi Mwenyezi Mungu nitawajibu, Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, Bwana, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, lakini hayapo, ndimi zao zimekauka kwa kiu. Lakini Mimi BWANA nitawajibu, Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, lakini hayapo, ndimi zao zimekauka kwa kiu. Lakini Mimi bwana nitawajibu, Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, BWANA, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyonge na wakiwa wako katika kutafuta maji, lakini kwa kuwa hayako, ndimi zao zimekauka kwa kiu, lakini mimi Bwana nitawaitikia, mimi Mungu wa Isiraeli sitawaacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, BWANA, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamasikini na wakosefu wakitafuta maji lakini hawayapati, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Yawe nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha.