Isaiah 41:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu, na chemchemi katika mabonde. Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, nazo chemchemi ndani ya mabonde. Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu, na chemchemi katika mabonde. Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, nazo chemchemi ndani ya mabonde. Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, nazo chemchemi ndani ya mabonde. Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu, na chemchemi katika mabonde. Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatoa majito kwenye vilima vikavu, namo mabondeni katikati nitatoa chemchemi, nyika nitaigeuza kuwa ziwa la maji, namo jangwani maji yataonekana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitabubujisha mito kwenye milima mitupu, na chemichemi katika mabonde. Nitaigeuza jangwa kuwa ziwa la maji, na inchi kuwa chemichemi za maji.