Isaiah 41:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitapanda miti huko nyikani: Mierezi, mikakaya, mijohoro, na mizeituni; nitaweka huko jangwani: Miberoshi, mivinje na misonobari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika jangwa nitaotesha mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku pamoja huko nyikani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitapanda katika jangwa mwerezi, mshita, mhadasi, na mbono; nitatia katika nyika mberoshi, mtidhari, na mteashuri pamoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitapanda miti huko nyikani: mierezi, mikakaya, mijohoro, na mizeituni; nitaweka huko jangwani: miberoshi, mivinje na misonobari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika jangwa nitaotesha mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku pamoja huko nyikani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika jangwa nitaotesha mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku pamoja huko nyikani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitapanda katika jangwa mwerezi, mshita, mhadasi, na mbono; nitatia katika nyika mberoshi, mtidhari, na mteashuri pamoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitapanda miti huko nyikani: Mierezi, mikakaya, mijohoro, na mizeituni; nitaweka huko jangwani: Miberoshi, mivinje na misonobari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitaotesha nyikani miangati na migunga na vihagilo na mibono; huko nyikani nitaweka mivinje na mitamba na mizambarau,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitapanda katika jangwa mwerezi, mshita, mhadasi, na mbono; nitatia katika nyika mberoshi, mtidhari, na mteashuri pamoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitapanda miti kule katika jangwa: mierezi, mivinje, mijohoro, na mizeituni; nitaweka kule katika jangwa: miberoshi, shindano na misunobari.