Isaiah 41:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wataona jambo hilo, nao watatambua na kuelewa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimetenda hayo, mimi Mtakatifu wa Israeli nimefanya jambo hilo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili watu wapate kuona na kujua, wapate kufikiri na kuelewa, kwamba mkono wa Mwenyezi Mungu umetenda hili, kwamba yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ndiye alilifanya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili waone, na kujua, wakafikiri, na kufahamu pamoja, ya kuwa mkono wa Bwana ndio uliofanya jambo hilo. Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyeliumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wataona jambo hilo, nao watatambua na kuelewa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimetenda hayo, mimi Mtakatifu wa Israeli nimefanya jambo hilo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba watu wapate kuona na kujua, wapate kufikiri na kuelewa, kwamba mkono wa BWANA umetenda hili, kwamba yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyelifanya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba watu wapate kuona na kujua, wapate kufikiri na kuelewa, kwamba mkono wa bwana umetenda hili, kwamba yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ndiye alilifanya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili waone, na kujua, wakafikiri, na kufahamu pamoja, ya kuwa mkono wa BWANA ndio uliofanya jambo hilo. Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyeliumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wataona jambo hilo, nao watatambua na kuelewa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimetenda hayo, mimi Mtakatifu wa Israeli nimefanya jambo hilo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi wapate kuyaona na kuyatambua, wayaweke mioyoni na kujifundisha wote pamoja, ya kuwa mkono wa Bwana umeyafanya hayo, ya kuwa Mtakatifu wa Isiraeli ameyaumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili waone, na kujua, wakafikiri, na kufahamu pamoja, ya kuwa mkono wa BWANA ndio uliofanya jambo hilo. Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyeliumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wataona jambo hilo, nao watatambua na kuelewa kwamba mimi Yawe nimetenda hayo, mimi Mutakatifu wa Israeli nimefanya jambo hilo.