Isaiah 41:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, Mfalme wa Yakobo, asema: “Enyi miungu ya mataifa, njoni mtoe hoja zenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu asema, “Leta shauri lako. Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, leteni maneno yenu, asema Bwana; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, Mfalme wa Yakobo, asema: “Enyi miungu ya mataifa, njoni mtoe hoja zenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asema, “Leta shauri lako. Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asema, “Leta shauri lako. Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, Mfalme wa Yakobo, asema: “Enyi miungu ya mataifa, njoni mtoe hoja zenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaleteni mabishano yenu! ndivyo, Bwana anavyosema; yafikisheni mambo yenu magumu! ndivyo, mfalme wa Yakobo anavyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, Mufalme wa Yakobo, anasema: Enyi miungu ya mataifa, mulete maneno yenu, mukuje mujitetee!