Isaiah 41:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leteni hoja zenu, mtuambie yatakayotukia. Tuambieni matukio ya kwanza yalikuwa yapi nasi tutayatafakari moyoni. Au tutangazieni yajayo, tujue yatakayokuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Leteni sanamu zenu zituambie ni nini kitakachotokea. Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, ili tupate kuyatafakari na kujua matokeo yake ya mwisho. Au tutangazieni mambo yatakayokuja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wayatangaze na kutujulisha yatakayokuwa; watuonyeshe mambo ya zamani, ni mambo gani, tukapate kuyatia moyoni, tukajue mwisho wake; au wamdhihirishie yatakayotokea baadaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leteni hoja zenu, mtuambie yatakayotukia. Tuambieni matukio ya kwanza yalikuwa yapi nasi tutayatafakari moyoni. Au tutangazieni yajayo, tujue yatakayokuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Leteni sanamu zenu zituambie ni nini kitakachotokea. Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, ili tupate kuyatafakari na kujua matokeo yake ya mwisho. Au tutangazieni mambo yatakayokuja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Leteni sanamu zenu zituambie ni nini kitakachotokea. Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, ili tupate kuyatafakari na kujua matokeo yake ya mwisho. Au tutangazieni mambo yatakayokuja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wayatangaze na kutujulisha yatakayokuwa; watuonyeshe mambo ya zamani, ni mambo gani, tukapate kuyatia moyoni, tukajue mwisho wake; au wamdhihirishie yatakayotokea baadaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leteni hoja zenu, mtuambie yatakayotukia. Tuambieni matukio ya kwanza yalikuwa yapi nasi tutayatafakari moyoni. Au tutangazieni yajayo, tujue yatakayokuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafikisheni na kutusimulia yatakayokuwa! Yale ya mbele tuelezeeni maana yao, tuyaweke mioyoni, tupate kuyatambua nayo ya nyuma! Nayo yajayo tuambieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wayatangaze na kutujulisha yatakayokuwa; watuonyeshe mambo ya zamani, ni mambo gani, tukapate kuyatia moyoni, tukajue mwisho wake; au wamdhihirishie yatakayotokea baadaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujongee, mutuambie yatakayotukia. Mutuambie matukio ya kwanza yalikuwa gani, nasi tutafikiri juu yake. Au mututangazie jinsi yatakavyotimia, kusudi tujue yatakayokuja.