Isaiah 41:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuambieni yatakayotokea baadaye, nasi tujue basi kama nyinyi ni miungu. Fanyeni kitu chochote, chema au kibaya, ili tutishike na kuogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. Fanyeni jambo lolote zuri au baya, ili tupate kutishika na kujazwa na hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tujulisheni yatakayokuwa baadaye, nasi tutakiri ya kuwa ninyi ni miungu; naam, tendeni mema au tendeni mabaya, ili tujipime, tukaone pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuambieni yatakayotokea baadaye, nasi tujue basi kama nyinyi ni miungu. Fanyeni kitu chochote, chema au kibaya, ili tutishike na kuogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. Fanyeni jambo lo lote zuri au baya, ili tupate kutishika na kujazwa na hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. Fanyeni jambo lolote zuri au baya, ili tupate kutishika na kujazwa na hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tujulisheni yatakayokuwa baadaye, nasi tutakiri ya kuwa ninyi ni miungu; naam, tendeni mema au tendeni mabaya, ili tujipime, tukaone pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuambieni yatakayotokea baadaye, nasi tujue basi kama nyinyi ni miungu. Fanyeni kitu chochote, chema au kibaya, ili tutishike na kuogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatangazeni yatakayokuja nyuma, tujue, ya kuwa ninyi m miungu! Fanyizeni tu mambo yakiwa mema au mabaya, tuyastaajabu tutakapoyaona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tujulisheni yatakayokuwa baadaye, nasi tutakiri ya kuwa ninyi ni miungu; naam, tendeni mema au tendeni mabaya, ili tujipime, tukaone pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutuambie yatakayotokea nyuma, nasi tujue basi kama ninyi ni miungu. Mufanye kitu chochote, chema au kibaya, kusudi tushangae na kuogopa.