Isaiah 41:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika, nyinyi si kitu kabisa. hamwezi kufanya chochote kile. Anayechagua kuwaabudu nyinyi ni chukizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, na kazi zenu hazifai kitu kabisa; yeye awachaguaye ni chukizo sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazameni, ninyi si kitu, tena kazi yenu si kitu; awachaguaye ninyi ni chukizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika, nyinyi si kitu kabisa. hamwezi kufanya chochote kile. Anayechagua kuwaabudu nyinyi ni chukizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa na kazi zenu hazifai kitu kabisa; yeye awachaguaye ni chukizo sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, na kazi zenu hazifai kitu kabisa; yeye awachaguaye ni chukizo sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazameni, ninyi si kitu, tena kazi yenu si kitu; awachaguaye ninyi ni chukizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika, nyinyi si kitu kabisa. hamwezi kufanya chochote kile. Anayechagua kuwaabudu nyinyi ni chukizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Ninyi m wa bure, nazo kazi zenu huwa si kitu, anayewachagua ninyi hutapisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazameni, ninyi si kitu, tena kazi yenu si kitu; awachaguaye ninyi ni chukizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika, ninyi si kitu kabisa. Hamuwezi kufanya kitu chochote. Anayechagua kuwaabudu ninyi ni chukizo.