Isaiah 41:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, ‘Tazama, wako hapa!’ Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi kwanza nitauambia Sayuni, Tazama; hawa ndio; nami nitampa Yerusalemu mletaji wa habari njema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, ‘Tazama, wako hapa!’ Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, ‘Tazama, wako hapa!’ Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi kwanza nitauambia Sayuni, Tazama; hawa ndio; nami nitampa Yerusalemu mletaji wa habari njema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa kwanza mimi nimeuambia Sioni: Yatazameni! Yako! Namo Yerusalemu nimetuma mjumbe, apige mbiu njema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi kwanza nitauambia Sayuni, Tazama; hawa ndio; nami nitampa Yerusalemu mletaji wa habari njema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni yule wa kwanza. Nilitangaza kwa Sayuni, nikapeleka Yerusalema mujumbe wa habari njema.