Isaiah 41:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeangalia kwa makini sana, lakini simwoni yeyote yule; hamna yeyote kati ya hao miungu awezaye kushauri; nikiuliza hakuna awezaye kunijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninatazama, lakini hakuna yeyote: hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nitazamapo, hapana mtu, hata katika watu hao hapana mshauri mmoja, ambaye, nikimwuliza, aweza kunijibu neno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeangalia kwa makini sana, lakini simwoni yeyote yule; hamna yeyote kati ya hao miungu awezaye kushauri; nikiuliza hakuna awezaye kunijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninatazama lakini hakuna ye yote: hakuna ye yote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, hakuna ye yote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninatazama, lakini hakuna yeyote: hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nitazamapo, hapana mtu, hata katika watu hao hapana mshauri mmoja, ambaye, nikimwuliza, aweza kunijibu neno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeangalia kwa makini sana, lakini simwoni yeyote yule; hamna yeyote kati ya hao miungu awezaye kushauri; nikiuliza hakuna awezaye kunijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nilipotazama, hakuwako mtu; nako kwao hao hakuwako wa kunipa shauri, nikimwuliza, anipe majibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nitazamapo, hapana mtu, hata katika watu hao hapana mshauri mmoja, ambaye, nikimwuliza, aweza kunijibu neno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeangalia vizuri sana, lakini simwoni mutu yeyote; hakuna yeyote kati ya hao miungu anayeweza kushauri; nikiuliza, hakuna anayeweza kunijibu.