Isaiah 41:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Miungu hiyo yote ni udanganyifu, haiwezi kufanya chochote; sanamu zao za kusubu ni upuuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, wote ni ubatili! Matendo yao ni bure; vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hao wote ni ubatili; kazi zao si kitu; sanamu zao ni upepo na fujo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Miungu hiyo yote ni udanganyifu, haiwezi kufanya chochote; sanamu zao za kusubu ni upuuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, wote ni ubatili! Matendo yao ni bure; vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, wote ni ubatili! Matendo yao ni bure; vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hao wote ni ubatili; kazi zao si kitu; sanamu zao ni upepo mtupu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Miungu hiyo yote ni udanganyifu, haiwezi kufanya chochote; sanamu zao za kusubu ni upuuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Wote pamoja ni wa bure, nazo kazi zao huwa si kitu, vinyago vyao ni upepo mtupu pasipo maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hao wote ni ubatili; kazi zao si kitu; sanamu zao ni upepo na fujo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miungu hiyo yote ni udanganyifu, haiwezi kufanya kitu chochote; sanamu zao ni upepo tu, hazina maana.