Isaiah 41:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwafuatia na kuendelea salama, katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awafuatia, apita salama hata kwa njia asiyoikanyaga kamwe kwa miguu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwafuatia na kuendelea salama, katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwafuatia na kuendelea salama, katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awafuatia, apita salama hata kwa njia asiyoikanyaga kamwe kwa miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anapowakimbiza mwenyewe hupita salama. ijapo miguu yake isije kushika njia ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awafuatia, apita salama hata kwa njia asiyoikanyaga kamwe kwa miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anawakimbiza na kupita kwa usalama; anaenda mbio bila kukanyaga chini.