Isaiah 41:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani aliyefanya yote haya yatendeke? Ni nani aliyepanga wakati wa kila tukio? Mimi Mwenyezi-Mungu nipo tangu mwanzo, mimi nitakuwapo hata milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, akiita vizazi tangu mwanzo? Mimi, Mwenyezi Mungu, ni wa kwanza, nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: Mimi ndiye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi, Bwana, wa kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani aliyefanya yote haya yatendeke? Ni nani aliyepanga wakati wa kila tukio? Mimi Mwenyezi-Mungu nipo tangu mwanzo, mimi nitakuwapo hata milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, akiita vizazi tangu mwanzo? Mimi, BWANA, ni wa kwanza nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: mimi BWANA ndiye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, akiita vizazi tangu mwanzo? Mimi, bwana, ni wa kwanza nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: mimi bwana ndiye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi, BWANA, wa kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani aliyefanya yote haya yatendeke? Ni nani aliyepanga wakati wa kila tukio? Mimi Mwenyezi-Mungu nipo tangu mwanzo, mimi nitakuwapo hata milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani aliyevitengeneza na kuvifanya? Yuko nani aliyeviita vizazi toka mwanzo? Ni mimi Bwana niliye wa mwanzo na wa mwisho, mimi ndiye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi, BWANA, wa kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani aliyefanya yote haya yatendeke? Ni nani aliyepanga wakati wa kila tukio? Mimi Yawe nipo tangu mwanzo, mimi nitakuwa hata milele.