Isaiah 41:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Visiwa vimeliona na kuogopa, miisho ya dunia inatetemeka. Wanakaribia na kuja mbele,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Visiwa vimeliona na kuogopa, miisho ya dunia inatetemeka. Wanakaribia na kuja mbele,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Visiwa vimeliona na kuogopa, miisho ya dunia inatetemeka. Wanakaribia na kuja mbele,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Visiwa vimeyaona, vikaogopa, mapeo ya nchi yakatetemeka: Wanakuja! Wamekwisha kufika karibu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa mbali wameona mambo niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa woga. Watu wote wamekusanyika, wakakuja.