Isaiah 41:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja anamhimiza mwenzake akisema, ‘Haya! Jipe moyo!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kila mmoja humsaidia mwingine na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Uwe na moyo mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja anamhimiza mwenzake akisema, ‘Haya! Jipe moyo!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kila mmoja humsaidia mwingine na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kila mmoja humsaidia mwingine na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Jipe moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja anamhimiza mwenzake akisema, ‘Haya! Jipe moyo!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasaidiana kila mtu na mwenziwe, wakaambiana mtu na ndugu yake: Kaza nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Uwe na moyo mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja anamusaidia mwenzake akisema: Ujipe moyo!