Isaiah 41:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikiliza ewe Israeli, mtumishi wangu, wewe, Yakobo ambaye nimekuchagua, wewe mzawa wa Abrahamu, rafiki yangu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, Yakobo, niliyemchagua, ninyi wazao wa Ibrahimu rafiki yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Ibrahimu, rafiki yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikiliza ewe Israeli, mtumishi wangu, wewe, Yakobo ambaye nimekuchagua, wewe mzawa wa Abrahamu, rafiki yangu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini wewe, Ee Israeli, mtumishi wangu, Yakobo, niliyemchagua, ninyi wazao wa Abrahamu rafiki yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, Yakobo, niliyemchagua, ninyi wazao wa Ibrahimu rafiki yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Abrahamu, rafiki yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikiliza ewe Israeli, mtumishi wangu, wewe, Yakobo ambaye nimekuchagua, wewe mzawa wa Abrahamu, rafiki yangu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe Isiraeli uliye mtumishi wangu, nawe Yakobo, niliyekuchagua, ndiwe uzao wa mpenzi wangu Aburahamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Ibrahimu, rafiki yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza ewe Israeli, mutumishi wangu, wewe, Yakobo ambaye nimekuchagua, wewe wa uzao wa Abrahamu, rafiki yangu;