Isaiah 42:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: Bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya, sifa zake toka miisho ya dunia, ninyi mshukao chini baharini, na vyote vilivyomo, enyi visiwa na wote wanaoishi humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, sifa zake toka miisho ya dunia, ninyi mshukao chini baharini, na vyote vilivyomo ndani yake, enyi visiwa na wote wakaao ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana wimbo mpya, sifa zake toka miisho ya dunia, ninyi mshukao chini baharini, na vyote vilivyomo ndani yake, enyi visiwa na wote wakaao ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: Bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Bwana wimbo mpya na kumshangilia kwenye mapeo ya nchi, ninyi mtembeao baharini nayo yote yaliyomo, ninyi visiwa nao wakaao huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe wimbo mupya! Dunia yote iimbe sifa zake: bahari na vyote vinavyokuwa ndani yake, inchi za mbali na wakaaji wake;