Isaiah 42:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
jangwa na miji yake yote ipaaze sauti, vijiji vya wakazi wa Kedari vimsifu, wakazi wa Sela waimbe kwa shangwe; wapaaze sauti kutoka mlimani juu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; makazi anamoishi Kedari na yashangilie. Watu wa Sela waimbe kwa furaha, na wapige kelele kutoka vilele vya milima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
jangwa na miji yake yote ipaaze sauti, vijiji vya wakazi wa Kedari vimsifu, wakazi wa Sela waimbe kwa shangwe; wapaaze sauti kutoka mlimani juu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; makao anamoishi Kedari na yashangilie. Watu wa Sela waimbe kwa furaha na wapige kelele kutoka vilele vya milima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; makao anamoishi Kedari na yashangilie. Watu wa Sela waimbe kwa furaha, na wapige kelele kutoka vilele vya milima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
jangwa na miji yake yote ipaaze sauti, vijiji vya wakazi wa Kedari vimsifu, wakazi wa Sela waimbe kwa shangwe; wapaaze sauti kutoka mlimani juu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nyika na miji iliyoko ipaze sauti pamoja na vijiji, Wakedari wakaamo! Wakaao magengeni na wapige shangwe, nako vilimani kileleni na wapige makelele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
jangwa na miji yake yote vipige kelele, vijiji vya wakaaji wa Kedari vimusifu, wakaaji wa Sela waimbe kwa shangwe; wapige kelele kutoka juu kwenye mulima.