Isaiah 42:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wampe Mwenyezi Mungu utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wamtukuze Bwana, Na kutangaza sifa zake visiwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wampe BWANA utukufu na kutangaza sifa zake katika visiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wampe bwana utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na wamtukuze Bwana! Na wayatangaze mashangilio yake visiwani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaokaa katika inchi za mbali, wamutukuze na kumusifu Yawe.