Isaiah 42:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaharibu milima na vilima, na majani yote nitayakausha. Mito ya maji nitaigeuza kuwa nchi kavu, na mabwawa ya maji nitayakausha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaharibu milima na vilima na kukausha mimea yako yote; nitafanya mito kuwa visiwa na kukausha mabwawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaharibu milima na vilima, nitavikausha vyote vimeavyo; nitaifanya mito ya maji kuwa visiwa, na kuyakausha maziwa ya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaharibu milima na vilima, na majani yote nitayakausha. Mito ya maji nitaigeuza kuwa nchi kavu, na mabwawa ya maji nitayakausha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaharibu milima na vilima na kukausha uoto wake wote; nitafanya mito kuwa visiwa na kukausha mabwawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaharibu milima na vilima na kukausha mimea yako yote; nitafanya mito kuwa visiwa na kukausha mabwawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaharibu milima na vilima, nitavikausha vyote vimeavyo; nitaifanya mito ya maji kuwa visiwa, na kuyakausha maziwa ya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaharibu milima na vilima, na majani yote nitayakausha. Mito ya maji nitaigeuza kuwa nchi kavu, na mabwawa ya maji nitayakausha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitachoma milima na vilima, niyanyaushe majani yao yote, nayo majito nitayageuza kuwa nchi kavu, hata mabwawa nitayakausha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaharibu milima na vilima, nitavikausha vyote vimeavyo; nitaifanya mito ya maji kuwa visiwa, na kuyakausha maziwa ya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaharibu milima na vilima, na majani yote nitayakausha. Mito ya maji nitaigeuza kuwa inchi kavu, na visima vya maji nitavikausha.