Isaiah 42:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataipaza sauti yake barabarani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataiinua sauti yake barabarani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataiinua sauti yake barabarani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatapiga kelele, wala hatalia, wala hatapaza sauti yake njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatalalamika wala hatapiga kelele, wala hatasema kwa sauti kubwa katika barabara.