Isaiah 42:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake ya wazi, lakini hasikii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi lakini hamsikii cho chote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake yako wazi, lakini hasikii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliona mengi, lakini hukuyaangalia; alikuzibua masikio, lakini hayakusikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake ya wazi, lakini hasikii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumeona mambo mengi, lakini hamuelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamusikii kitu!