Isaiah 42:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilimpendeza Mwenyezi Mungu kwa ajili ya haki yake kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akapendezwa, kwa ajili ya haki yake, kuitukuza sheria, na kuiadhimisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilimpendeza BWANA kwa ajili ya haki yake kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilimpendeza bwana kwa ajili ya haki yake kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akapendezwa, kwa ajili ya haki yake, kuitukuza sheria, na kuiadhimisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana kwa hivyo, alivyo mwongofu, akapendezwa kuyakuza na kuyatukuza Maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akapendezwa, kwa ajili ya haki yake, kuitukuza sheria, na kuiadhimisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya uaminifu wake, Yawe, alipenda kutukuza sheria yake na kuiheshimisha.