Isaiah 42:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mtatega sikio kusikia kitu hiki? Nani kati yenu atakayesikiliza vizuri yatakayotukia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani miongoni mwenu atakayesikiliza hili, au atakayezingatia kwa makini katika wakati ujao?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mtatega sikio kusikia kitu hiki? Nani kati yenu atakayesikiliza vizuri yatakayotukia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani miongoni mwenu atakayesikiliza hili au atakayezingatia kwa makini katika wakati ujao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani miongoni mwenu atakayesikiliza hili, au atakayezingatia kwa makini katika wakati ujao?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mtatega sikio kusikia kitu hiki? Nani kati yenu atakayesikiliza vizuri yatakayotukia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenu yuko nani atakayeyasikia hayo? Yuko nani atakayeyaangalia atakapoyasikia huko nyuma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatega masikio kwa kusikia kitu hiki? Nani kati yenu atakayesikiliza vizuri yatakayotukia?