Isaiah 42:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatokeza hukumu kwa kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanzi uliopondeka hatauvunja na utambi ufukao moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatoa hukumu kwa uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utete uliokunjika hatauvunja, wala utambi unaotoka moshi bado hatauzima, aitokeze ile hukumu kuwa ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatokeza hukumu kwa kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatavunja tete lililokunjama, hatazimisha utambi unaotoa moshi; ataimarisha sheria yangu kwa uaminifu.