Isaiah 42:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hatafifia wala kufa moyo, hata atakapoimarisha haki duniani. Watu wa mbali wanangojea mwongozo wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hatazimia roho wala kukata tamaa, hadi atakaposimamisha haki juu ya dunia. Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hatafifia wala kufa moyo, hata atakapoimarisha haki duniani. Watu wa mbali wanangojea mwongozo wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hatazimia roho wala kukata tamaa mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. Visiwa vitaweka tumaini lake katika sheria yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hatazimia roho wala kukata tamaa, mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hatafifia wala kufa moyo, hata atakapoimarisha haki duniani. Watu wa mbali wanangojea mwongozo wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatazimia, wala hatashindika, mpaka yanyokayo ayashikize katika nchi, navyo visiwa vitayangoja maonyo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hataregea wala kuchoka, mpaka atakapoimarisha sheria yangu katika dunia. Watu wa mbali wanangojea mafundisho yake.