Isaiah 42:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utayafumbua macho ya vipofu, utawatoa wafungwa gerezani, waliokaa gizani utawaletea uhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwafungua macho wale wasioona, kuwaacha huru kutoka kifungoni wale waliofungwa, na kuwafungua kutoka gerezani wale wanaokaa gizani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utayafumbua macho ya vipofu, utawatoa wafungwa gerezani, waliokaa gizani utawaletea uhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwafungua macho wale wasioona, kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, na kuwafungua kutoka gerezani wale wanaokaa gizani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwafungua macho wale wasioona, kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, na kuwafungua kutoka gerezani wale wanaokaa gizani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utayafumbua macho ya vipofu, utawatoa wafungwa gerezani, waliokaa gizani utawaletea uhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ufumbue macho ya vipofu, utoe wafungwa kifungoni, nao wakaao gizani uwatoe nyumbani, wanamolindwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utayafungua macho ya vipofu, utawafungua wafungwa toka katika kifungo, utawaweka huru wale waliofungwa katika giza.