Isaiah 43:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: Mimi mwenyewe, bali si mungu mgeni kati yenu. Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Mwenyezi Mungu, “kwamba Mimi ndimi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonyesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema Bwana, nami ni Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. Ninyi ni mashahidi wangu,” asema BWANA, “kwamba Mimi ndimi Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. Ninyi ni mashahidi wangu,” asema bwana, “kwamba Mimi ndimi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, nami ni Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nimeyatangaza, nikatengeneza wokovu, nikaujulisha, mkingali hamna mungu mgeni kwenu; nanyi m mashahidi wangu, nami ndimi Mungu! ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonyesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, nami ni Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikakuja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyetangulia kufanya hivyo, nanyi ni washuhuda wangu. –Ni ujumbe wa Yawe.–