Isaiah 43:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu daima. Hakuna awezaye kuiepa nguvu yangu; hakuna awezaye kupinga ninayofanya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa kutoka mkononi wangu. Mimi ninapotenda, ni nani awezaye kutangua?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu daima. Hakuna awezaye kuiepa nguvu yangu; hakuna awezaye kupinga ninayofanya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa kutoka katika mkono wangu. Mimi ninapotenda, ni nani awezaye kutangua?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa kutoka mkononi wangu. Mimi ninapotenda, ni nani awezaye kutangua?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hakuna awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu daima. Hakuna awezaye kuiepa nguvu yangu; hakuna awezaye kupinga ninayofanya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena tangu leo nitakuwa yeye niliyekuwa, hakuna aopoaye mkononi mwangu; nikitaka kufanya kitu, yuko nani atakayekizuia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu siku zote. Hakuna anayeweza kuepuka nguvu yangu; hakuna anayeweza kupinga ninayofanya.