Isaiah 43:17 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nililipiga jeshi lenye nguvu, jeshi la magari na farasi wa vita, askari na mashujaa wa vita. Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena, niliwakomesha na kuwazima kama utambi wa taa. Sasa nasema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyeyakokota magari ya vita na farasi, jeshi pamoja na askari wa msaada, nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atoaye gari na farasi, jeshi la askari na uwezo; wamelala, hawataondoka; wametoweka, wamezimwa mfano wa utambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nililipiga jeshi lenye nguvu, jeshi la magari na farasi wa vita, askari na mashujaa wa vita. Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena, niliwakomesha na kuwazima kama utambi wa taa. Sasa nasema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliyeyakokota magari ya vita na farasi, jeshi pamoja na askari wa msaada, nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, wamekomeshwa, wakazimika kama utambi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyeyakokota magari ya vita na farasi, jeshi pamoja na askari wa msaada, nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atoaye gari na farasi, jeshi la askari na uwezo; wamelala, hawataondoka; wametoweka, wamezimwa kama utambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nililipiga jeshi lenye nguvu, jeshi la magari na farasi wa vita, askari na mashujaa wa vita. Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena, niliwakomesha na kuwazima kama utambi wa taa. Sasa nasema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
atokezaye magari na farasi, vikosi na wakuu pamoja: Mara wataanguka, wasiinuke tena, watazimia, kama utambi unavyozimika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)