Isaiah 43:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, ili wazitangaze sifa zangu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, ili wazitangaze sifa zangu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, ili wazitangaze sifa zangu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watu, niliojitengenezea, watayasimulia na kushangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, kusudi wazitangaze sifa zangu!