Isaiah 43:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini ewe taifa la Yakobo, hukuniabudu mimi; enyi watu wa Israeli, mlinichoka mimi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hukuniita, Ee Yakobo, bali umechoka nami, Ee Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini ewe taifa la Yakobo, hukuniabudu mimi; enyi watu wa Israeli, mlinichoka mimi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata hivyo hukuniita mimi, Ee Yakobo, hujajitaabisha kwa ajili yangu, Ee Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hukuniita, Ee Yakobo, bali umechoka nami, Ee Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini ewe taifa la Yakobo, hukuniabudu mimi; enyi watu wa Israeli, mlinichoka mimi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe Yakobo, hukuniita mimi, nawe Isiraeli, hukujichokesha kwa ajili yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hukuniita, Ee Yakobo, bali umechoka nami, Ee Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ewe taifa la Yakobo, haukuniabudu mimi; enyi watu wa Israeli, mulichoka nami!