Isaiah 43:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Niambie kama mna kisa nami, njoo tukahojiane; toeni mashtaka yenu ili tuuone ukweli wenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tafakari mambo yaliyopita, njoo na tuhojiane, jitetee uweze kupewa haki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Niambie kama mna kisa nami, njoo tukahojiane; toeni mashtaka yenu ili tuuone ukweli wenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tafakari mambo yaliyopita, njoo na tuhojiane, leta shauri lako, uweze kupewa haki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tafakari mambo yaliyopita, njoo na tuhojiane, leta shauri lako uweze kupewa haki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Niambie kama mna kisa nami, njoo tukahojiane; toeni mashtaka yenu ili tuuone ukweli wenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikumbushe, tubishane! Nawe yaseme yako, upate kushinda humu shaurini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munikumbushe tena makosa yangu, tusambe nanyi, mutoe mashitaki yenu kusudi tuuone ukweli wenu!